Welcome

Chuo cha Ualimu Tarime kipo wilaya ya Tarime Mkoani Mara, kilianzishwa tarehe 20/05/1974, chini ya uongozi wa Mkuu wa Chuo Dr. C. C. Magoti. Chuo kilikuwa kikitoa mafunzo ya ualimu yakiwemo Daraja la IIIA (GATCE). Kwa sasa, hutoa Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Stashahada ya Elimu ya Awali na Msingi (NTA4-6) baada ya kusajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) tarehe 10 Feb 2015 kwa namba REG/TLF/045 ili kuandaa walimu wa kufundisha Shule za Elimu ya Awali na Msingi.

Contacts

Address:

The Principal

Tarime Teachers College, P.O.Box 199. Tarime

Telephone:

+255282690014/0768266944

Fax:

(028) 2690014

Email:

[email protected]

MKUU WA CHUO
BW. NICHOLAUS A. MAGIGE

DIRA NA DHAMIRA

  • Kutoa Mwalimu Bora

  • Kutoa Taaluma ya Ualimu ili kuimarisha Elimu ya kuleta Ukombozi kamili kwa Mtanzania na kuondoa Umasikini HERE

Search


Search on Tarime TC website

News


f RATIBA YA MTIHANI
 
f MATOKEO YA MTIHANI
 
f PRIVATE CANDIDATES
 
f JOINING INSTRUCTIONS
 
f SELECTED APPLICANTS
 
f RATIBA YA MASOMO
 
SEWATA AWAMU 54
 
KALENDA YA CHUO
 
ZAMU ZA WAKUFUNZI

 

Copyright @ 2017 - Tarime Teachers' College